Posts

Showing posts from October, 2023

SADI ONE AMUITA BOKOBOKO EMBARAMBAMBA.

Image
Kiinacho shangaza ni kuwa baada ya ukimya wa Sadi One almaarufu Mtoto wa Taifa, amerudi na kumjibu Chawa wa malindi huku akimuita Embarambamba wa Malindi. Maoni yako ni gani..?

MWANAMKE AKAMATWA NA KILO YA HEROINE INAYOGARIMU 3.5M

Image
Mwanamke mmoja Mkenya alikamatwa akiwa na kilo ya heroine aliyokuwa akisafirisha kutoka Mombasa hadi Malindi. Maafisa wa upelelezi walimkamata mwanamke huyo, msambazaji wa mihadarati anayefanya kazi ndani na kukamata kilo moja ya dawa za kulevya zinazoshukiwa kuwa heroini. Alikuwa amesafiri hadi Mombasa kwa misheni ya kutafuta mihadarati na alikuwa akirejea aliponaswa, polisi walisema. Mshtakiwa alifikishwa mbele ya mahakama ya sheria ya Malindi mnamo Oktoba 19 na akakana hatia kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya. Uamuzi wa dhamana utatolewa Oktoba 26, 2023, mahakama iliamua. Haya yanajiri kufuatia Utafiti wa Kitaifa wa Dawa za Kulevya uliofanywa hivi majuzi na Mamlaka ya Kitaifa ya Kampeni Dhidi ya Matumizi Mabaya ya Pombe na Madawa ya Kulevya (NACADA) kuonyesha kuenea kwa matumizi mabaya ya dawa zilizoagizwa na daktari. DCI ilifanya oparesheni ambapo wafanyabiashara wa kitamaduni wa dawa za kulevya walikamatwa wakiwa na tembe za aina mbalimbali zilizoashiria upungufu wa heroini. ...

PASTA EZEKIEL AMRUKA MACKENZIE

Image
  PASTA EZEKIEL AMRUKA MACKENZIE Kinacho sikitisha n kwamba Pasta Ezekiel Odero wa New Life Prayer Center & Church tarehe 13 Oktoba alimkana Mhubiri Paul Mackenzie anayezuuliwa gerezani kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ndani aya Msitu Wa Shakahola huku akisema yeye hausiki na jambo lolote lenye Mhubiri huyo alisema. 

AKOTHEE ASEMA JAGUAR AKO NA TOOTHPICK

Image
  AKOTHEE ASEMA JAGUAR AKO NA TOOTHPICK Akothee asemaa ameweza kulala na wanaume 271 na wengi wao walikuwa na (Toothpick) Msaniii Jaguar akiwa anaongoza katika wanaume wenye Toothpick. Msanii huyu ambaye juzi juzi alikuwa akionekana na msongo wa mawazo amekuwa gumzo mtandaoni tena. Je! wewe unaonaje kitendo hiki chenye Akothee amefanya kutangaza Body count yake hadharani na kuwaaibisha wanaume wengine. Tupe maoni yako...?

POPE FRANCIS IS NOT SERIOUS....?

Image
Papa Francis amependekeza kuwa atakuwa tayari kuona Kanisa Katoliki likibariki wapenzi wa jinsia moja. Papa Francis alitoa matamshi haya baada ya kundi la makadinali kumwomba ufafanuzi juu ya suala hilo. Aidha,Papa huyo alisema ombi lolote la baraka linapaswa kushughulikiwa. Je nauliza mnakubaliana na mapendekezo ya huyu Papa Francis.  

Stoneman Willie ‘: Mwili wa mwanaume uliohifadhiwa miaka 128 hatimaye kuzikwa.

Image
  Stoneman Willie ‘: Mwili wa mwanaume uliohifadhiwa miaka 128 hatimaye kuzikwa. Mwanamume anayejulikana kama "Stoneman Willie," ambaye alikufa katika jela ya Pennsylvania zaidi ya karne moja iliyopita, ametambuliwa kupitia mabaki yaliyochomwa. Baada ya uchunguzi wa kina, Nyumba ya Mazishi ya Auman imefanikiwa kutambua mwili wa "Stoneman Willie" ambao umeonyeshwa kwa wageni tangu 1895.

MOSES KURIA HIGHLIGHTED

Image
  BREAKING NEWS: Moses Kuria has been moved from Trade and Industry Ministry to Public Service, Performance, and Delivery Management in the new cabinet reshuffle. What is the main objective of doing this..? Tell me at the comment section.
Image
  After online chat that Akothee has separated from her husband Dennis Schweizer Omosh, the musician has come forward and denied the allegations. According to Akothee, the two are still in love but some people have been using fake networks to spread the news and even call people over. In addition, Akothee has noted that her husband has not been a customer of the Facebook network and has no intention of joining the network