Kiinacho shangaza ni kuwa baada ya ukimya wa Sadi One almaarufu Mtoto wa Taifa, amerudi na kumjibu Chawa wa malindi huku akimuita Embarambamba wa Malindi. Maoni yako ni gani..?
Its been a year since we saw Dr Love from Xtrem Empire Music Management posting a lady with "my Love" caption. Will the doctor show us his new lover or he will just be posting the back of the lady. This is a recent picture that he posted with a caption "Namficha" What should we understand, is he in love or is he just flirting with this new gal. Stay turn for this and many more news from our blog. Don't forget to follow him on YouTube @officialdrlove https://youtube.com/@bjaydrlove8903
Huduma ya taifa ya polisi NPS imekanusha madai kwamba maafisa wa polisi waliiba vipatakalishi kutoka madukani jijini Nairobi wakati wa maandamano ya kulalamikia mauaji ya mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang. Katika taarifa, NPS imeelezea kwamba inafahamu kuhusu video inayosambaa mitandaoni inayoonyesha afisa mmoja wa polisi akiwa amebeba vipatakalishi hivyo. Mkurugenzi wa mawasiliano katika NPS Muchiri Nyaga aliendelea kusema kwamba polisi hao walikamata mshukiwa mmoja na kumpokonya vifaa hivyo vya kielektroniki, ambavyo vimehifadhiwa katika kituo cha polisi cha Central Nairobi kama idhibati. Huduma hiyo ya taifa ya polisi imesema inaendeleza uchunguzi kwa lengo la kukamata waliohusika na visa vya uhalifu wakati wa maandamano ya jana, ili wachukuliwe hatua za kisheria. Copied from known sources
Xtrem Empire Music inavunjika. Kikosi hiki kilikiwa kimeanza kuwika lakini kuna tetesi ya kuwa wanaeza vunjika hivi karibuni. CEO wa Xtrem Empire Music Mr Dr Love ameonekana studio akiangalia mambo ya ngoma yake mpya. Je! Mr Dr Love amepatikana studio akiimba nyimbo ya Gospel. Hivi ni kweli ameingia kwa Gospel ama vipi. Endelea kunifuatilia niwaeleze kuhusu Mr Dr Love....
Comments
Post a Comment