PASTA EZEKIEL AMRUKA MACKENZIE
PASTA EZEKIEL AMRUKA MACKENZIE
Kinacho sikitisha n kwamba Pasta Ezekiel Odero wa New Life Prayer Center & Church tarehe 13 Oktoba alimkana Mhubiri Paul Mackenzie anayezuuliwa gerezani kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ndani aya Msitu Wa Shakahola huku akisema yeye hausiki na jambo lolote lenye Mhubiri huyo alisema.
Comments
Post a Comment