POPE FRANCIS IS NOT SERIOUS....?


Papa Francis amependekeza kuwa atakuwa tayari kuona Kanisa Katoliki likibariki wapenzi wa jinsia moja.
Papa Francis alitoa matamshi haya baada ya kundi la makadinali kumwomba ufafanuzi juu ya suala hilo.
Aidha,Papa huyo alisema ombi lolote la baraka linapaswa kushughulikiwa. Je nauliza mnakubaliana na mapendekezo ya huyu Papa Francis.

 

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Dr Love atamtambulisha lini Mpenzi wake...?

SADI ONE AMJIBU CHAWA WA SWANKY, SWANKY OTR NA KENNOVELTY.

NYOTA_NDOGO ”"Whenever I See Stevo Simple Boy My Heart Breaks I Met Him.