WEWE NI SHAROBARO.... MSANII CLEVA BOY AJIBIWA...
Baada ya msanii cleva boy kuachilia kibao chake kinachojulikana kama vile Ruby... Kibao ambacha alimuandikia mwanamitandao anayejulikana kama Ruby Kache... Kibao hicho kimesikizwa na wasikilizaji zaidi ya elfu tano ndani ya siku nne tu.... Je tuseme Cleva boy ameanza kupata umaarufu...? Ama zote hizi ni Kiki.....?

Fuatilia habari za malindi hapa na usisahau kufollow, like na comment...
@rubykache
@clevaboy
Comments
Post a Comment