DIAMOND AMTETEA ALIKIBA...


Diamond Platnumz kwenye interview na waandishi wa habari mapema leo aliulizwa analionaje suala la Alikiba kufungua Media kama yeye...

Diamond... "Siwezi kusema Alikiba alifungua media kwa sababu mimi nilifungua, hii ni hatua kubwa sana kwetu wasanii, nafikiri hilo ni jambo zuri kwake."

"Tena nimeona kuna wale wanaosema hile Media sio ya Alikiba mwenyewe, sioni tatizo na ndio maana zikaitwa Media Company."

Diamond ameamua leo kuongea kwa niaba ya Alikiba.


Comments

Popular posts from this blog

Dr Love atamtambulisha lini Mpenzi wake...?

JE TUTAKIMBILIA WAPI..? MAAFISA WEZI

JE! XTREM EMPIRE MUSIC INAVUNJIKA...?