Posts

Showing posts from May, 2023

Song ya kwanza ya Xtrem Empire ni Fall in Love.

Image
Fall in love is there first song Kwa Album ya Xtrem Empire Music. Subscribe to there Youtube channel @ Xtrem Empire Music. *https://www.youtube.com/@XtremEmpireMusic003*

Xtrem Empire Music itaendelea vp...?

Image
Kama wanavyo viita wana Xtrem empire music (XEM) kumekuwa na tetesi ya kwamba wanaeza tengana karibuni. Mambo mengi yanaendelea kati yao huku ujeuri na kiburi cha kujiona wameanza kujulikana kikiwajaa akilini mwao. CEO wa Xtrem empire music amedai ya kwamba kikosi hiki hakiezi vunjika labda kuwe na sintofahamu katika makubaliano yao. Vile vile alizidi kunena kwamba kikosi hicho kimekuwa kikiomba sana wapate watu ambao wataekeza kwa mziki wao wa kizazi kipya.... Je kunaye atakaye jitokeza na kuekeza katika mziki wao? Wacha tusubiri kama kunaye atakaye jitokeza....... N mimi wako Naitwa Beejayz

Dr Love atamtambulisha lini Mpenzi wake...?

Image
Its been a year since we saw Dr Love from Xtrem Empire Music Management posting a lady with "my Love" caption. Will the doctor show us his new lover or he will just be posting the back of the lady. This is a recent picture that he posted with a caption "Namficha" What should we understand, is he in love or is he just flirting with this new gal. Stay turn for this and many more news from our blog. Don't forget to follow him on YouTube @officialdrlove https://youtube.com/@bjaydrlove8903

Je Xtrem Empire wataburudisha mafuns wao jumapili....?

Image
Xtrem Empire (Beejay x Bajey) watakuwa na live performance happy Breeze point Siku ya jumapili. Swali lilopo ni kuwa Je.. Watawaburudisha mashabiki wao ama watawachora tu? Kupata hilo jibu ni wewe ujitokeze na kushuhudia performance hio hapo Breeze Point Hotel Malindi kwanzia saa tisa mchana mpaka tuone jua. Nyote mwakaribishwa......