Xtrem Empire Music itaendelea vp...?
Kama wanavyo viita wana Xtrem empire music (XEM) kumekuwa na tetesi ya kwamba wanaeza tengana karibuni.
Mambo mengi yanaendelea kati yao huku ujeuri na kiburi cha kujiona wameanza kujulikana kikiwajaa akilini mwao. CEO wa Xtrem empire music amedai ya kwamba kikosi hiki hakiezi vunjika labda kuwe na sintofahamu katika makubaliano yao.
Vile vile alizidi kunena kwamba kikosi hicho kimekuwa kikiomba sana wapate watu ambao wataekeza kwa mziki wao wa kizazi kipya.... Je kunaye atakaye jitokeza na kuekeza katika mziki wao? Wacha tusubiri kama kunaye atakaye jitokeza.......
N mimi wako Naitwa Beejayz
Comments
Post a Comment