Je Xtrem Empire wataburudisha mafuns wao jumapili....?
Xtrem Empire (Beejay x Bajey) watakuwa na live performance happy Breeze point Siku ya jumapili. Swali lilopo ni kuwa Je.. Watawaburudisha mashabiki wao ama watawachora tu?
Kupata hilo jibu ni wewe ujitokeze na kushuhudia performance hio hapo Breeze Point Hotel Malindi kwanzia saa tisa mchana mpaka tuone jua.
Nyote mwakaribishwa......
Comments
Post a Comment