Huyu ndo pastor anayesumbua kilifi county..?
Imesemekana sasa miili 78 imefukulowa kutoka kwa makaburi tofauti katika shamba lake. Pastor huyu anayejulikana kama Pastor Mackenzie amekuwa na kesi miaki iliyopita ila aliachiliwa kwa dhamana ya shilingi 10000. Kipindi hicho alikuwa ameshikwa kwa kuwaambia wafuasi wake wasiwapeleke watoto wao mashuleni.... Hadithi hii ilianza kitambo nifuate kwa mitandao yangu ya kijamii kujua mengi..... YouTube @naitwabjs