Huyu ndo pastor anayesumbua kilifi county..?

Imesemekana sasa miili 78 imefukulowa kutoka kwa makaburi tofauti katika shamba lake.
Pastor huyu anayejulikana kama Pastor Mackenzie amekuwa na kesi miaki iliyopita ila aliachiliwa kwa dhamana ya shilingi 10000. 
Kipindi hicho alikuwa ameshikwa kwa kuwaambia wafuasi wake wasiwapeleke watoto wao mashuleni....
Hadithi hii ilianza kitambo nifuate kwa mitandao yangu ya kijamii kujua mengi.....
YouTube @naitwabjs

Comments

Popular posts from this blog

Dr Love atamtambulisha lini Mpenzi wake...?

SADI ONE AMJIBU CHAWA WA SWANKY, SWANKY OTR NA KENNOVELTY.

NYOTA_NDOGO ”"Whenever I See Stevo Simple Boy My Heart Breaks I Met Him.