Kumbe Malindi kumejaa vipaji.
Wasanii chipukizi wa Malindi wanaojulikana kama Xtrem Empire Music wametangaza kuwa watakuwa wakizindia Album yao ya kwanza inayo itwa "What Is Love". Wamesema Album hii itakuwa na Colabo nyingi sana......
Huku tukisubiri tuwatafute kwa mitandao @ Xtrem empire music
Youtube; https://youtube.com/@bjsdrlove8903
Tunawangoja
ReplyDelete