NYOTA_NDOGO ”"Whenever I See Stevo Simple Boy My Heart Breaks I Met Him.
#NYOTA_NDOGO ”"Whenever I See Stevo Simple Boy My Heart Breaks I Met Him.
"Mimi kila napo muona simple boy moyo wangu unasononeka sana.toka nimeanza kumsikia watu wanamfanya Comedian na nafeel sijasema ninaushaidi but nafeel kuna watu wanamtumia kupata pesa na yeye hapati kitu.tulipokutana nae kwenye ile show Nairobi nilimuangalia nikamuhurumia sana couse alikua nikama mtu anae endeshwa.yani anakua anacontroliwa Fanya hivi fanya vile.huyu kijana asipopata usaidizi basi maisha yake yatapotea hivi hivi mukiona.kwaufupi nafeel anateseka sana.yani nilitamani nimvute kando nimuambie kuhusu kazi anazopata nimshike mkono nimtafutie plot nimuongoze kujenga hata room mbili.lakini hasimami pekeake.yani amesimamiwa ili mtu asimsongelee kumchanua ama kumwambia chochote..A CRY FOR HELP ndio nilioiona kwenye macho yale.haya jifanyeni wajinga museme natafuta Kiki".
Comments
Post a Comment