Mzee kama mimi siezi kumpa mwanamke mimba. Mwanamume wa Manzi wa kibera aliye na umri wa miaka 67 amekana akiwa live kwenye camera. Maoni yako ni gani hivi unafikiria kwamba hiyo mimba ni ya mzee ama alichezwa...?
Huduma ya taifa ya polisi NPS imekanusha madai kwamba maafisa wa polisi waliiba vipatakalishi kutoka madukani jijini Nairobi wakati wa maandamano ya kulalamikia mauaji ya mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang. Katika taarifa, NPS imeelezea kwamba inafahamu kuhusu video inayosambaa mitandaoni inayoonyesha afisa mmoja wa polisi akiwa amebeba vipatakalishi hivyo. Mkurugenzi wa mawasiliano katika NPS Muchiri Nyaga aliendelea kusema kwamba polisi hao walikamata mshukiwa mmoja na kumpokonya vifaa hivyo vya kielektroniki, ambavyo vimehifadhiwa katika kituo cha polisi cha Central Nairobi kama idhibati. Huduma hiyo ya taifa ya polisi imesema inaendeleza uchunguzi kwa lengo la kukamata waliohusika na visa vya uhalifu wakati wa maandamano ya jana, ili wachukuliwe hatua za kisheria. Copied from known sources
Burna Boy ignores Nicki Minaj and Approves TAT remix with an upcoming Artist. American rapper Nicki Minaj jumped on Burna Boy's Tested, Approved & Trusted remix and shared it on her Instagram, hoping for approval, only for Burna Boy to feature Prince Swanny on the remix instead.
Comments
Post a Comment