MR MALINDI ANATESA WASANII MALINDI.

Young Njita ama ukipenda Njita Njigiri ni msanii tambulika wa malindi. Hasa amebandikwa jina Mr Malindi kwa sababu ya utambulikaji wake mjini Malindi. Ila shida imetokea ni kwamba wasanii na madancer wa malindi wanasema kwamba kila shindano ama show ambayo msanii huyu Young Njita analipanga. Mwisho anashindwa kuwalipa kiwango cha pesa walicho kubaliana. Kwa sasa imesemekana kwamba Young Njita ako na shindano inayojulikana kama Tambua Talanta inayofanyika kila siku Ya Jumapili katika mgahawa wa T&T Restaurant Malindi. Hivi kwa hizi tetesi zote shindano hilo litaendelea kweli. Zidi kutegea ili ujue ni nini kitakacho endelea jumapili Ijao

Comments

Popular posts from this blog

Dr Love atamtambulisha lini Mpenzi wake...?

SADI ONE AMJIBU CHAWA WA SWANKY, SWANKY OTR NA KENNOVELTY.

NYOTA_NDOGO ”"Whenever I See Stevo Simple Boy My Heart Breaks I Met Him.