SOAP CALI arudi kwenye game.

Imepita miezi mingi tangu mwanamziki wa Hip hop kenya anayetambulika kama Soap Cali kuachilia ngoma lakingi hivi sasa kuna tetesi ya kwamba amerudi kwenye industry na hivi karibuni anaachilia Album yake ya Hiphop. Tutazidi kuwajuza mengi ila kufuatilia hizi habari na zenginezo tutafute pale YouTube @Mr Dr Love ama pale Facebook @XEM malindi ama Instagram @therealdrlove1

Comments

Popular posts from this blog

Dr Love atamtambulisha lini Mpenzi wake...?

SADI ONE AMJIBU CHAWA WA SWANKY, SWANKY OTR NA KENNOVELTY.

NYOTA_NDOGO ”"Whenever I See Stevo Simple Boy My Heart Breaks I Met Him.