Posts

Showing posts from May, 2024

HARMONIZE AGOMA KUTOA TENA NYIMBO

Harmonize Amesema Kwamba Album Yake Ya "Muziki Wa Samia" Ndio Album Ya Mwisho Kwake Lakini Mi Nadhani Atakuwa Ameongea Katika Hali Kutofikiria, Umri Wake Bado Mdogo Na Muda Wake Kwenye Muziki Bado Mchache Sana Kauli Kama Hizi Huwa Zinatolewa Na Wakongwe Ambao Wanaenda Kuachana Na Muziki.  Harmonize Atakuwepo Kwenye Muziki Zaidi Ya Miaka Kumi Mbeleni Kama Mungu Atamjalia Umri Mrefu Hivyo Sidhani Kama Katika Hiko Kipindi Chote Hatatoa Album, Mi Nadhani Ajifunze Kuongea Kwa Kutafakari Analotaka Kusema Kabla Hajalisema Asioongee Tu Ili Kuwafurahisha Watu Fulani.