HARMONIZE AMJIBU DIAMOND.
Mbali na Diamond platnumz kutamani kufanya Event kubwa ya kutimiza miaka 15 kwenye Game, huku akiwaalika Wanawe akiwemo ( Harmonize, Rayvany ) Basi Harmonize amemjibu Diamond kuhusiana na swala hilo ambapo amesema hatowezo kufika kwenye show kwani hana uwezo wa kumlipa Million 600 tsh Pia Mbali na hivyo alimdai na alishawahi kulipwa hivyo iwe mwisho na anachodai kwasasa hastahili.. 😂 " Tatizo masikini huyu hukumbuka wanawe akishakusanya mali zake..!! Any way haiwezi kuja tokea ..!! Hiyo mil 600 Kunilipa hutoweza ..!! Sikia unaweza kuwa mkubwa zaidi kwa kuwafanya wengine wakubwa pia ..!! Ulidai nimekulipa iwe mwisho inachosha..!! Unachokinadi now hustahili ..!! BROUH U CAN EAT YOUR CAKE AND HAVE IT 😁 .." ameandika Harmonize. #updates