Wasanii wa Malindi, Kunaniiii...?
Hivi ndo tuseme hakuna support ama tutajua vp kama hampendani. Msanii mwenzenu anapost picha siku nne ako na like mbili. Hivi sanaa ya Malindi mnaioeleka wapi kama nyinyi wenyewe hamsaidiani...? Toa maoni yako kwa hili jambo...?