Posts

Showing posts from September, 2023

SADI ONE AMJIBU CHAWA WA SWANKY, SWANKY OTR NA KENNOVELTY.

Image
Habari zinazo chipuka asubui ya leo ni kwamba msanii tajika almaarufu kama Sadi One(mtoto wa taifa) amewajibu wasanii na wote wanao mtupia maneno huku nje. Katika post yake ya Instagram aliyopost ame wapa maneno makali wasanii hao na pia nikaona ameeka status akiuliza mafuns wake kama atoe nyimbo yenye itawajibu kwa ujumla ama vipi. Toa maoni yako ama utume ujumbe mfupi kwa 0755855965 ama WhatsApp 0701386531.