Alikiba convoy spotted in Malindi.
Msafara wa Alikiba waonekana mjini Mombasa. Fununu ni Kwamba Alikiba anaelekea mjini Malindi kwa show babkubwa itakayo fanyika pale Lawfords hotel almarufu Whitemoon beach resort tarehe 1 mwezi wa saba. Unaanzaje kukosa.